Chege & Temba ft. Emmy Wimbo - Go Down [Official Music Video]

Chege & Temba ft. Emmy Wimbo - Go Down [Official Music Video]
Chege & Temba ft. Emmy Wimbo - Go Down [Official Music Video] Chege & Temba ft. Emmy Wimbo - Go Down [Official Music Video] Chege & Temba ft. Emmy Wimbo - Go Down [Official Music Video]
Video Details
Duration 3m 55s
Channel Chege Chigunda
Added On 2017 March 10
Views 2107725
Likes 8090
Dislikes 1171
Source Youtube
Download Video
Video Description
Chege latest song #Wafoo ► http://bit.ly/Wafoo Chege latest song #Runtown ► http://bit.ly/2wt5I6n Chege Latest Song - Najiuliza ► http://bit.ly/2trRhuJ To download from iTunes click here — https://goo.gl/2c7sem Click here to play the full audio on Spotify — https://goo.gl/v2Kt9Z Watch and share new music video "GO DOWN" by Tanzania bongo flava artists Chege & Mh.Temba featuring artist Emmy Wimbo,Directed by Kwetu Studios | Audio Produced by Ambrose Dunga,Masai On the Beat and B Skills [JIKONI STUDIOS]. Song Lyrics: Intro Onana onana nana Onana onana macho yanaita macho macho yanaita Onana onana nana Onana onana macho yanaita macho macho yanaita Onana onana nana Onana onana macho yanaita macho macho yanaita Chorus Go down hata mara moja go down Go down hata mara moja jiweke down Go down hata mara moja go down Go down hata mara moja jiweke down Verse - Chege Once upon time once upon rhyme Nakumbuka Marry alikusumbua Once upon time once upon rhyme Ulijitahidi sana bado ukachengua Umekumbwa na jini gani Mbona mami hautuelewani Hata jini kisilani sio kama wewe Wala jini Makata Hakufikii wewe Kosa langu kukuweka ndani Haijulikani ndani mwanaume nani Kila siku vituko tu Mara moja moja babe unajiweka down Chorus Go down hata mara moja go down Go down hata mara moja jiweke down Go down hata mara moja go down Go down hata mara moja jiweke down Verse - Temba and Chege Kwanza sema na moyo wako Usilingie uzuri wako Kuna kupandaga mami na kushuka Tupendane forever mpaka kufa Usiku nikipita twitter Mami nakukuta twitter Nikisema nikucheki insta Nakuta ushapost picha Pesa zisikupe uchizi Kibuli na kutudhalau Wale tulokupa shavu sasa unatudhalau Chorus Go down hata mara moja go down Go down hata mara moja jiweke down Go down hata mara moja go down Go down hata mara moja jiweke down Emmy Wimbo ,Chege and Temba I wanna feel love Tulia tulia mami upate raha Oooh oooh Baki kwangu mami upate raha (babe girl) Tuliza malingo kidogo (babe girl) Tuliza na nyodo kidogo (babe girl) Wacha kubinua kichuguu (babe girl) Hata uende wapi kwako nimeshanasa Chorus Go down hata mara moja go down Go down hata mara moja jiweke down Go down hata mara moja go down Go down hata mara moja jiweke down Babe Girl mami tulia tulia tulia Babe girl mami tulia tulia tulia